Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua mchakato wa kutumia akili unde kuwaajiri polisi

  • | Citizen TV
    3,113 views
    Duration: 2:31
    Serikali itatumia akili unde katika mchakato wa kuwaajiri maafisa wa polisi kama mojawapo wa njia za kuboresha idara ya polisi. Mchakato huo unahusu pia kuhamisha huduma za polisi hadi mfumo wa dijitali. Idara hiyo ya polisi pia ikisema tayari kuna mipango ya kuwapa polisi mafunzo kuhusu matumizi ya akili unde.