Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua mpango maalum wa uokoaji na utafiti

  • | Citizen TV
    153 views
    Duration: 1:23
    Serikali ya kenya imezindua mpango maalum ya utafiti na uokoaji ikiashiria maendeleo makubwa katika mfumo wa kukabiliana na majanga nchini . Mpango huu ni matokeo ya juhudi za ushirikiano kati ya Kitengo cha Kitaifa cha Usimamizi wa Maafa (NDMU) , kitengo cha Huduma kwa Polisi cha kukabiliana na majanga, vikosi vya zimamoto vya kaunti za Kiambu na Nairobi, pamoja na Kituo cha taifa la Poland cha Msaada wa Kimataifa (PCPM).