- 467 viewsDuration: 2:14Bodi ya udhibiti wa matumizi ya dawa na sumu hii leo imezindua mpango wa kudhibiti dawa ambazo hazijafikia viwango na zile ghushi kwenye halfa inayofanyika jijini nairobi. Waziri Aden Duale ambaye ameongoza hafla hiyo amessitiza umuhimu wa kuondoa kabisa madawa ambayo hayajafinkia viwango thabiti ili kuondoa madhara kwa wananchi. wanaotengeza bidhaa hizo bandia pia wameonywa vikali.