Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua ofisi za utawala Wajir kusini

  • | Citizen TV
    135 views
    Duration: 2:02
    Serikali imezindua rasmi ofisi za utawala katika Eneo Bunge la Wajir Kusini, hatua inayolenga kusogeza huduma za serikali karibu na wananchi na kuimarisha usalama katika eneo hilo.