5 Jun 2026 10:12 am | Citizen TV 835 views Duration: 2:01 Rais William Ruto na rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa watia sahihi mikataba sita ya ushirikiano ilengayo kuimarisha biashara, elimu, michezo, usafirishaji wa majini na maendeleo ya kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.