Skip to main content
Skip to main content

SHA yaidhinisha matibabu nje ya nchi kwa wagonjwa wa rufaa

  • | Citizen TV
    479 views
    Duration: 3:13
    Wagonjwa wanaotafuta matibabu nje ya nchi wataanza kufaidika na mpango wa bima ya afya ya jamii SHA kuanzia wiki ijayo. Afisa mkuu wa Mamlaka ya SHA Dkt. Mercy Mwangangi amesema kuwa bima hiyo imeidhinisha hospitali tisa zilizoko India, Uturuki na Saudi Arabia kuanza kutoa matibabu ya rufaa . Aidha aina 36 ya matibabu maalum ambayo hayapatikani nchini yataruhusiwa chini ya bima ya SHA. Mwangangi amesema serikali imeanza kulipa deni la shilingi milioni 200 inayodaiwa na NHIF kwa huduma zilizotolewa nje ya nchi