Skip to main content
Skip to main content

SHA yaondoa sharti la cheti cha ndoa kwa huduma za uzazi

  • | Citizen TV
    1,664 views
    Duration: 4:13
    Imekuwa afueni kwa walimu wanaotafuta huduma za afya ya uzazi ya kupandikizwa ya teknolojia ya kupitia bima ya afya ya SHA baada ya halmashauri hiyo kusema kuwa sharti la kuwa lazima wanaotafuta huduma wawe na cheti cha ndoa lililotolewa awali lilikuwa la makosa. Hatua hii ikiibua afueni kwa walimu waliokuwa na matumaini mapya ya kuanza safari ya kupata watoto.