Skip to main content
Skip to main content

SHA yatangaza kifurushi kipya kilichoboreshwa kwa wagonjwa wa saratani na wajawazito

  • | Citizen TV
    605 views
    Duration: 2:58
    Mamlaka inayosimamia bima ya afya ya SHA imetangaza rasmi kifurushi kipya kilichoboreshwa ambacho kitaleta manufaa zaidi kwa Wakenya, haswa wagonjwa wa saratani na kina mama wajawazito. Tangazo hilo linalotokana na agizo la Rais William Ruto limeongeza rasmi fedha zinazotengewa wagonjwa wa saratani kutoka laki tano hadi elfu mia nane. Kina mama watapata huduma za kujifungua katika hospitali za kiwango cha pili na cha tatu, yaani level 2 na 3, bila mchango wao katika bima hiyo.