Skip to main content
Skip to main content

Shabana FC yaanza msimu mpya wa FKF Premier League kwa ushindi

  • | Citizen TV
    748 views
    Duration: 44s
    Shabana FC imeanza kampeni yake ya Ligi Kuu ya Soka nchini, FKF Premier League, msimu wa 2026/2027 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Posta Rangers katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Wang’uru.