13 Aug 2026 7:46 pm | Citizen TV 207 views Duration: 1:03 Felix Shioso sasa ameibuka mshindi wa kwanza wa kampeni ya Shabiki InaGive Shinda Million moja Kila Wiki.Shioso, mwenye umri wa miaka 29, ni mhudumu wa bodaboda kutoka kaunti ya Bungoma.