Skip to main content
Skip to main content

Shahbal akataa wito wa Ruto wa kuachana na siasa

  • | Citizen TV
    27,177 views
    Duration: 2:46
    Mbunge wa EALA na mfanyabiashara Suleiman Shahbal ametofautiana na Rais William Ruto kuhusu kauli yake ya kumtaka kuachana na azma yake ya kisiasa na kuendeleza shughuli zake za biashara. Shahbal, ambaye anadai matamshi hayo yalichochewa na mahasimu wake wa kisiasa, amesisitiza kuwa bado yuko kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ugavana wa Mombasa, baada ya kushindwa katika chaguzi za mwaka 2013 na 2017.