Skip to main content
Skip to main content

Shamakhoho: mwili wa mwanaume wapatikana kando ya barabara katika mazingira yanayotatanisha

  • | NTV Video
    1,280 views
    Duration: 3:11
    Hofu imetanda katika kijiji cha Chebunaywa, kata ndogo ya Senende, Shamakhoho, baada ya mwili wa mwanaume mwenye umri wa miaka 53, Nelson, kupatikana kando ya barabara katika mazingira yanayozua hofu kuwa huenda aliuawa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya