Skip to main content
Skip to main content

Shamrashamra za Madaraka Dei zanogesha Wajir huku mahitaji ya malazi yakiongezeka

  • | Citizen TV
    4,367 views
    Duration: 2:53
    Pilkapilka za madaraka dei na maonyesho ya elimu zimenogesha shughuli katika kaunti ya Wajir huku wakazi wa kaunti hiyo wakijivunia ongezeko la biashara na kuimarika kwa miundombinu. Hata hivyo Wageni wanakabiliwa na changamoto ya Malazi kwani hoteli tayari zimejaa na bei kupanda maradufu.