Skip to main content
Skip to main content

sherehe za Madaraka zaandaliwa katika Kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    1,466 views
    Duration: 1:34
    Katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani Raymond Omollo aiongoza timu ya pamoja kutoka serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kukagua eneo litakalotumika kwa maadhimisho hayo, na kueleza imani kuwa maandalizi yote yatakayokuwa yamekamilika kabla ya mwisho wa mwezi.