- 348 viewsDuration: 3:32Shinikizo zinazidi kuongezeka kwa wakuu wa usalama kueleza aliko Mwendwa Mbijiwe, ambaye alitoweka mwaka wa 2018.Mahakama Kuu ilitoa wito tena kwa Inspekta Jenerali wa Polisi na Mkurugenzi wa Upelelezi wa maswala ya Jinai kutoa majibu kwa familia yake ambayo imesubiri kwa miaka mingi kujua ukweli. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive