- 258 viewsDuration: 1:36Maafisa wa halimashauri ya kukadiria ubora wa bidhaa nchini (KEBS) kutoka eneo la Pwani wataka wafanyibiashara kuwa waangalifu katika biashara zao na kutolaghaiwa na watu wanaojifafanya maafisa wa halimashauri hiyo na kuwaitisha hongo ili kuruhusu bidhaa zao sokoni.