Skip to main content
Skip to main content

Shirika la leba duniani lazindua chama cha ushirika kwa wakenya waofanyao kazi ughaibuni

  • | Citizen TV
    404 views
    Duration: 3:46
    Shirika la leba duniani ilo pamoja na mashirika ya kutetea haki yazindua chama cha ushirika kwa wakenya waofanyao kazi ughaibuni hasa milki ya kiarabu wakisema hatua hii yachochewa na ukosefu wa akiba kwa wakenya. Wakizungumza katika hafla ya uzinduzi huko Mombasa wadau katika sekta hii wadai kuwa wakenya wengi wajipata kurudi nyumbani na kubaki maskini pamoja na familia kukosa kuchunga fedha zao.