Skip to main content
Skip to main content

Shirika la Maendeleo ya Wanawake Kapsabet waeleza hofu yao kuhusu uchochezi wa kisiasa

  • | Citizen TV
    153 views
    Duration: 2:14
    Shirika la Maendeleo ya Wanawake laelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa joto la kisiasa nchini, likisema kuwa kauli zitolewazo na baadhi ya wanasiasa zachangia mgawanyiko na chuki miongoni mwa wananchi.