Skip to main content
Skip to main content

Shirika la Mama Ibado Charity lazindua kituo cha wazee Isiolo

  • | Citizen TV
    252 views
    Duration: 1:37
    Taasisi ya Mama Ibado Charity yafungua rasmi Kituo cha wazee katika eneo la Bula Pesa, Kaunti ya Isiolo, na hivyo kuanzisha kituo cha kwanza cha aina yake cha kijamii kitakachotoa huduma na msaada jumuishi kwa wazee walio katika mazingira magumu.