2 Oct 2026 1:39 pm | Citizen TV 548 views Duration: 2:36 Shirika la Red Cross wakishirikiana na wadau wengine wameandaa mafunzo kwa wakilishi wa jamii ya kaunti ya Garissa kuhusu namna ya kujiandaa kwa mvua na El Nino inayotarajiwa kunyesha mwezi huu