Skip to main content
Skip to main content

Shirika la reli larejelea huduma za usafiri wa reli katika mji wa Nyahururu

  • | Citizen TV
    722 views
    Duration: 2:42
    Shirika la reli nchini larejelea huduma za usafiri wa reli ya abiria na mizigo hadi katika mji wa Nyahururu, Kaunti ya Laikipia, baada ya kusitisha huduma hizo miaka 46 iliyopita. Usimamizi wa shirika hilo wakana madai kuwa hatua hiyo yachukuliwa sasa ili kuwashawishi wakazi wa eneobunge la Ol Kalou kuipigia kura serikali katika uchaguzi mdogo ujao. Aidha wasimamizi wasema kuwa huduma hiyo yarahisisha usafiri wa umma na uchukuzi wa mazao ya wakulima kwa gharama nafuu.