7 Jan 2026 1:19 pm | Citizen TV 153 views Duration: 1:02 Shirika la SHOFCO limetoa ufadhili wa elimu kwa wanafunzi 6,500 wa familia za mapato ya chini katika kaunti 11 ikiwemo Homabay .