Shughuli ya kutafuta mwili wa mvulana aliyezama katika Bwawa la Kirandich, Kaunti ya Baringo iliendelea kwa siku ya tatu leo. Kulingana na walioshuhudia tukio hilo, Jackson Koros alikuwa miongoni mwa mamia ya vijana waliohudhuria hafla moja ya burudani kabla ya kurejea shuleni karibu na bwawa hilo wakati mkasa huo ulipotokea.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive