7 Jan 2026 1:08 pm | Citizen TV 168 views Duration: 1:51 Kwa siku ya tatu sasa, shughuli za masomo katika Shule za mpakani mwa kaunti za Migori na Narok huko Gwitembe na Angata Barrakoi zimesitishwa huku vita vya umiliki wa ardhi katika Maeneo hayo vikiendelea.