2 Apr 2026 7:52 pm | Citizen TV 864 views Duration: 48s Timu ya taifa ya raga ya wanaume ya Kenya kwa wachezaji saba, Shujaa, imewasili nyumbani Alhamisi asubuhi baada ya matokeo mazuri Amerika Kusini.