5 Oct 2026 1:46 pm | Citizen TV 776 views Duration: 1:59 Shule 17 katika wadi ya Kimindet, Kilgoris kaunti ya Narok, zimepewa matenki ya maji ya lita 10,000 yaliyotolewa na Katibu wa idara ya Elimu ya Msingi, John Ololtuaa.