- 815 viewsDuration: 2:08Shule 29 kutoka eneo la Bonde la Ufa zimeshiriki mashindano ya Karate ya mchujo wa kitaifa yaliyofanyika Eldama Ravine. Wanafunzi 200 kutoka shule mbalimbali walifuzu kushiriki mashindano hayo, yaliyolenga kupata timu itakayowakilisha eneo hilo katika mashindano ya kitaifa yatakayofanyika jijini Nairobi. Evans Asiba anaripoti.