- 265 viewsDuration: 1:59Shule zipakamazo na makazi ya wanyamapori katika eneo la Nandi Hills kaunti ya Nandi zaanza kunufaika na mpango wa serikali wa ugavi wa matangi ya kuhifadhi maji, hatua ilengayo kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori ichangiwayo na uhaba wa maji.