Skip to main content
Skip to main content

Shule kufunguliwa kesho huku zikisubiri fedha za ufadhili

  • | Citizen TV
    1,016 views
    Duration: 2:30
    Shule nchini zinatarajiwa kufunguliwa kesho kote nchini, huku walimu wakisema shule bado hazijapokea fedha za ufadhili wa muhula wa tatu. Licha ya Rais William Ruto kutangaza kuwa serikali tayari imetoa shilingi bilioni 18 kwa ajili ya kufadhili muhula huo, walimu wanasema fedha hizo bado hazijafika shuleni. Muungano wa KUPPET unasema walimu wameachwa njia panda huku wakijiandaa kuwapokea wanafunzi kwa muhula mpya. Mary Muoki ana taarifa zaidi.