18 May 2026 7:34 pm | Citizen TV 1,808 views Duration: 2:30 Maelfu ya wanafunzi katika taasisi mbali mbali za masomo walikosa kuendelea na masomo wala kufanya mitihani wakati wa mgomo huo. Brenda Wanga anatupa taswira ya masomo katika siku hii ya mgomo wa kitaifa.