- 980 viewsDuration: 3:21Mvutano wa umiliki wa ardhi katika mtaa wa Mukuru kwa Reuben hapa nairobi umewaacha wanafunzi wa shule ya umma ya Gatoto kwenye njia panda, huku shule zikianza masomo kote nchini. Mvutano huu ukisababisha ghasia kati ya pande mbili zinazozozana kuhusu umiliki wa ardhi hii.