- 438 viewsDuration: 1:49Shule ya kitaifa wavulana ya Kwale ilijumuika katika hafla ya kuadhimisha matokeo bora zaidi katika ukanda wa Pwani huku jumla ya wanafunzi 403 walioukalia mtihani wa KCSE 2025 wakitarajiwa kujiunga na vyuo vikuu baada ya kupata alama ya a hadi c+.