- 389 viewsDuration: 1:51John Ololtuaa ametangaza rasmi kupandishwa hadhi kwa Maasai Girls High School kutoka kiwango cha C2 hadi kiwango cha C1, kinachotambuliwa kama hadhi ya shule ya kitaifa. Hatua hiyo inatarajiwa kuimarisha utoaji wa elimu, kuongeza fursa za udahili wa wanafunzi kutoka kote nchini na kuboresha miundombinu pamoja na rasilimali za shule hiyo.