3 Jul 2026 10:54 am | Citizen TV 352 views Duration: 1:50 Ni afueni kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Masalani eneo bunge la Galole kaunti ya Tana River baada ya mhisani mmoja kujitolea kuwajengea madarasa mapya kufuatia kuharibika kwa miundumsingi wa shule hiyo.