20 May 2026 10:30 am | Citizen TV 2,834 views Duration: 1:06 Shule ya kitaifa ya wasichana ya Mbooni kaunti ya Makueni imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi zaidi ya 40 kupata ugonjwa wa kuendesha na kutapika .