Skip to main content
Skip to main content

Shule ya upili ya St. Anthony (Solidarity Boys) yaanza kampeni ya kurejea kwenye ubora wake

  • | NTV Video
    149 views
    Duration: 1:38
    Waliokuwa mabingwa wa kitaifa katika kandanda ya wavulana shule za upili ya St. Anthony maarufu kama Solidarity Boys wameanza kampeni ya kurejea kwenye ubora wao mwaka huu katika michezo ya shule za upili ya muhula wa pili. #NTVWikendi @YoshuaMakori Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya