Skip to main content
Skip to main content

Shule ya Utumishi kufunguliwa Alhamisi baada ya mkutano wa wazazi

  • | Citizen TV
    1,319 views
    Duration: 2:33
    Shule ya Upili ya Wasichana ya Utumishi itafunguliwa siku ya Alhamisi baada ya wazazi kufanya mkutano wa faragha na maafisa kutoka Wizara ya Elimu. Hatua hiyo inafuatia mtafaruku ulioibuka Jumapili ambapo wazazi walitaka mazungumzo kuhusu masuala ya kiusalama yafanyike kabla ya wanafunzi kurejea shuleni. Shule hiyo pia inatarajiwa kupata msimamizi mpya baada ya mwalimu mkuu wa awali kuhamishwa.