Skip to main content
Skip to main content

Shule ya wasichana ya Ruiru yakabiliwa na msongamano mkubwa

  • | NTV Video
    101 views
    Duration: 1:30
    Shule ya Upili ya Wasichana ya Ruiru katika Kaunti ya Kiambu inakabiliwa na msongamano mkubwa, huku baadhi ya mabweni yakiwa na zaidi ya mara mbili ya idadi ya wanafunzi iliyopangwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya