14 Sep 2026 10:31 am | Citizen TV 318 views Duration: 2:13 Ukosefu wa miundomsingi ya kutosha, ikiwemo mabweni na madarasa, pamoja na malighafi ya mafunzo ya ufundi unaendelea kuathiri utoaji wa huduma katika shule za watoto wenye mahitaji maalum ya kiakili mjini Kwale.