Shule ya Upili ya Chepsaita na Shule ya Msingi ya Soin leo zimepokelewa kwa shangwe na shamrashamra jijini Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu, baada ya kurejea nchini kutoka Morogoro, Tanzania, walikoiwakilisha Kenya katika Michezo ya Shule za Afrika Mashariki, zilikoibuka kidedea katika mchezo wa voliboli.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya