5 Oct 2026 10:46 am | Citizen TV 747 views Duration: 2:31 Shule zaidi ya 20 katika maeneo bunge ya Msambweni na Matuga kaunti ya Kwale zimewekwa kwenye mpango wa kuwaelimisha wanafunzi, walimu na wazazi jinsi ya kukabiliana na dhuluma dhidi ya watoto.