3 Sep 2026 1:31 pm | Citizen TV 325 views Duration: 1:29 Mbunge wa Wajir Magharibi, Yussuf Farah Muliro, amewataka wananchi wanaostahiki kupiga kura katika eneo la Kaskazini Mashariki kujitokeza kwa wingi na kujisajili kama wapiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.