Skip to main content
Skip to main content

Siasa zatawala mazishi ya babake Wycliffe Wangamati Bungoma

  • | Citizen TV
    7,127 views
    Duration: 2:38
    Siasa zilishamiri katika mazishi ya Patrick Wangamati, babake aliyekuwa Gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati. Viongozi wa upinzani walitumia hafla hiyo kuwashawishi wakazi wa Magharibi kutomuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kutafuta muhula wa pili. Hata hivyo, viongozi wa upande wa serikali walimtetea Rais Ruto, wakisema serikali yake imetekeleza ahadi mbalimbali za maendeleo katika eneo hilo.