- 13,710 viewsDuration: 2:38Kinara wa muungano wa Linda Mwananchi, Edwin Sifuna, amesema ataangazia mageuzi katika sekta za uchumi, elimu na afya iwapo Wakenya watamchagua kuwa rais mwaka ujao. Akizungumza na wanahabari jijini Nairobi, seneta huyo wa Nairobi alimkosoa Rais William Ruto, akisema atampa ushindani mkali katika uchaguzi wa mwaka ujao.