- 4,608 viewsDuration: 56sSeneta wa Nairobi Edwin Sifuna sasa anasema atakata rufaa kufuatia uamuzi wa ODM kumwondoa kama katibu mkuu wa chama hicho. Katika taarifa iliyosomwa kwa niaba yake, Sifuna na wenzake wamedai kubanduliwa kwake kumekiuka sheria na kumnyima haki.