Skip to main content
Skip to main content

Sifuna aondolewa kama Naibu Kiranja wa Wachache Seneti

  • | Citizen TV
    6,553 views
    Duration: 2:40
    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ameondolewa kama Naibu kiranja wa wachache katika bunge la seneti. Wadhifa huo sasa ukikabidhiwa Seneta wa Migori Eddy Oketch. Kutemwa kwa Sifuna kwenye uongozi wa bunge la seneti kukifanyika wiki moja baada ya ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa kuidhinisha rasmi kuondolewa kwa Sifuna kama Katibu Mkuu wa ODM.