- 26,021 viewsDuration: 3:04Wanasiasa wa mrengo wa Linda Wananchi kwenye ODM sasa wanawataka viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa wajumbe wa kitaifa wa mwaka jana kung'atuka. Viongozi hao waliozuru kaunti ya Nakuru hii leo, wameendelea kumsuta Rais William Ruto kwa kile wanadai ni kuvuruga mikutano yao na kutotimiza ahadi kwa wakenya.