- 428 viewsDuration: 5:03Moyo ni kiungo muhimu kinachowezesha mwili kusukuma damu yenye oksijeni na virutubisho kwenda sehemu mbalimbali za mwili. Unaposhindwa kufanya kazi ipasavyo, uwezo huo hupungua na kuathiri utendaji wa viungo vingine, hali inayoweza kuhatarisha maisha. Katika makala ya leo ya Siha na Maumbile, Daktari Elizabeth wa Kituo cha Equity Afya Ruaka anaeleza kwa kina kuhusu tatizo la moyo kushindwa kufanya kazi, linalojulikana kama heart failure, pamoja na dalili, visababishi na njia za kujikinga.