Skip to main content
Skip to main content

Siha na maumbile | Tishio la uginjwa wa kisukari linaloongezeka

  • | Citizen TV
    337 views
    Duration: 4:29
    Mojawapo ya magonjwa yasiyoambukiza na ambayo yanahangaisha wengi na kusababisha vifo ni ugonjwa wa Kisukari. Wataalam wanasema ugonjwa huu sasa unawaathiri watu wengi ikilinganishwa na miaka ya nyuma. Tupate maelezo zaidi kwenye makala ya wiki hii ya Siha na Maumbile.