- 562 viewsDuration: 4:45Suala la wanandoa kukosa uwezo wa kuwapata watoto limekua sugu, na ugumba ukiwa mojawapo ya hali zinazochangia tatizo hilo. Hata hivyo kadri ulimwengu unavyozidi kuendelea, wataalam wa afya wanatoa matumaini makubwa kwa watu kwa walio na tatizo hili. Katika siha na maumbile wiki hii, Dkt Veronicah Muthui wa Equity Afya Syokimau anatueleza kwa kina kuhusiana na tatizo la ugumba na jinsi gani mtu anayoweza kupata usadizi wa kimatibabu hadi kupata Watoto.